Tarehe 28 mei kila mwaka, huwa ni siku ya hedhi salama. Ilianzishwa na shirika lisilo la kiserikali la WASH UNITED - GERMAN kwa lengo la kupaza sauti na kuonyesha umuhimu wa usimamizi mzuri wa afya ya wasichana na wanawake katika suala muhimu la hedhi. Tukiwa katika maazimisho ya siku ya hedhi salama duniani. Wadau mbalimbali wakiwemo wanafunzi, wafanyakazi na wanaharakati wa masuala ya kijamii wameelezea uelewa wao kuhusu hedhi salama kulinganisha na mazingira waliopo na shughuli wanazofanya. Soma. Hedhi salama kwangu ni Afya bora kwasababu naamini kabisa afya ya msichana/mwanamke inategemea sana Afya yake uzazi ambayo kwa asilimia kubwa inabebwa na hedhi ambayo haina changamoto za namna ya kujistiri na usafi kwa ujumla ili kuepuka magonjwa mbalimbali. Jamii yangu kwa asilimia kubwa inachukulia suala la hedhi kama suala la aibu, jamii bado inaona hedhi ni suala la binti mwenyewe bila kupewa msaada ili kuweza kuwa na hedhi salama kwa kumsaidia kuepuka...
Welcome to NillaPlus, a space where personal experiences meet thoughtful reflections. This blog is a collection of my views shaped by my daily engagements. Here, I share insights, stories, and lessons that inspire, challenge, and encourage growth. Whether it’s navigating professional pursuits, exploring societal issues, or celebrating everyday moments, NillaPlus is my platform for meaningful conversations and creative expression. Thank you for joining me on this journey!